sw_tn/ezr/07/14.md

960 B

Maelezo ya kuhusisha

Hii inaendelea na agizo la mfalme Artashasta alilompa ezra

Mimi, mfalme, na washauri wangu saba

neno "mimi" na msemo "Mfalme" linamaanisha mtu huyo huyo. Mfalme anakumbusha watu ambao watasikia barua kwamba yeye ndio mhusika wa hiyo barua.

kufahamu kuhusu Yuda na Yerusalem kuhusiana na sheria ya Mungu

kitu ambacho walitakiwa kuhulizia kinaweza kuelezewa vizuri zaidi. AT:"kuchunguza mwenendo katika Yuda na Yerusalem, ili kujifunza endapo au awatii sheria za Mungu"

Inakupasa kuleta dhahabu na fedha

Kitu walichoambiwa kuleta kinaweza kuelezwa vizuri.AT:"Inakupasa kuleta Yerusalem fedha na dhahabu"

fedha na dhahabu ambazo walitoa kwa hiari

"Hiari" inamaanisha hawakulazimishwa kutoa fedha. Walitoa kwa sababu walitaka. AT:"dhahabu na fedha ambazo walihiari kutoa"

Kitu gani cha hiari kilichotolewa na watu pamoja na makuhani

Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. AT:"Kitu gani watu na makuhani walitoa kwa hiari"