sw_tn/ezr/07/11.md

16 lines
596 B
Markdown

# Hili lilikuwa agizo
ujumbe uliofuata maelezo lilikuwa agizo lililotolewa na mfalme Artashasta
# Mfalme wa wafalme Artashasta
"Mfalme wa wafalme" ulikuwa ni wasifu, ukiwa unamaanisha kwamba alikuwa mkuu wa wafalme, mfalme ambaye wafalme wengine walimtii. AT:"Mfalme mkuu Artashasta" au "Artashasta, mkuu mfalme"
# Ninatoa amri kwamba mtu yeyote....ambaye anatamani kwenda Yerusalem
Katika siku zile watu walipenda ruhusa kutoka kwa mfalme kurekebisha na kujenga katika eneo zamani liliharibiwa na wavamizi wa taifa jingine.
# wanaweza kwenda pamoja na wewe
Neno "wewe" linamaanisha Ezra.