# Hili lilikuwa agizo ujumbe uliofuata maelezo lilikuwa agizo lililotolewa na mfalme Artashasta # Mfalme wa wafalme Artashasta "Mfalme wa wafalme" ulikuwa ni wasifu, ukiwa unamaanisha kwamba alikuwa mkuu wa wafalme, mfalme ambaye wafalme wengine walimtii. AT:"Mfalme mkuu Artashasta" au "Artashasta, mkuu mfalme" # Ninatoa amri kwamba mtu yeyote....ambaye anatamani kwenda Yerusalem Katika siku zile watu walipenda ruhusa kutoka kwa mfalme kurekebisha na kujenga katika eneo zamani liliharibiwa na wavamizi wa taifa jingine. # wanaweza kwenda pamoja na wewe Neno "wewe" linamaanisha Ezra.