sw_tn/ezr/07/11.md

596 B

Hili lilikuwa agizo

ujumbe uliofuata maelezo lilikuwa agizo lililotolewa na mfalme Artashasta

Mfalme wa wafalme Artashasta

"Mfalme wa wafalme" ulikuwa ni wasifu, ukiwa unamaanisha kwamba alikuwa mkuu wa wafalme, mfalme ambaye wafalme wengine walimtii. AT:"Mfalme mkuu Artashasta" au "Artashasta, mkuu mfalme"

Ninatoa amri kwamba mtu yeyote....ambaye anatamani kwenda Yerusalem

Katika siku zile watu walipenda ruhusa kutoka kwa mfalme kurekebisha na kujenga katika eneo zamani liliharibiwa na wavamizi wa taifa jingine.

wanaweza kwenda pamoja na wewe

Neno "wewe" linamaanisha Ezra.