sw_tn/ezr/06/19.md

306 B

siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza

Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi na nne ni karibu ya mwanzo wa mwezi wa nne kwa kalenda ya magharibi

wakajitakasa wenyewe

"wakajiweka kuwa safi wenyewe" kuwa safi inaonyesha kukubaliwa na Mungu. AT:"wakajiweka kukubalika kwa Mungu"