forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
306 B
Markdown
8 lines
306 B
Markdown
|
# siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza
|
||
|
|
||
|
Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi na nne ni karibu ya mwanzo wa mwezi wa nne kwa kalenda ya magharibi
|
||
|
|
||
|
# wakajitakasa wenyewe
|
||
|
|
||
|
"wakajiweka kuwa safi wenyewe" kuwa safi inaonyesha kukubaliwa na Mungu. AT:"wakajiweka kukubalika kwa Mungu"
|