# siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza Huu ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi na nne ni karibu ya mwanzo wa mwezi wa nne kwa kalenda ya magharibi # wakajitakasa wenyewe "wakajiweka kuwa safi wenyewe" kuwa safi inaonyesha kukubaliwa na Mungu. AT:"wakajiweka kukubalika kwa Mungu"