sw_tn/ezr/06/16.md

541 B

waliobaki wa uamisho

Hawa watu wameshikwa na kupelekwa Babeli. lakini walirudi Yerusalem. AT:"baadhi ya watu waliochukuliwa mateka kwenda Babeli na waliorudi yerusalem" au "baadhi ya watu waliorudi kutoka matekani"

ngombe mia moja...kondoo mia nne

"100 ngombe...400 kondoo

kuwapa wajibu makuhani na walawi kufanya mgawanyo

jina "mgawanyo wa kazi" unaweza kuelezewa katika msemo "kugawanya kazi katika vikundi" AT: "kugawanya makuhani na walawi katika vikundi vya kazi"

mgawanyo wa kazi

"vikundi ambavyo vinafanya kazi pamoja"