# waliobaki wa uamisho Hawa watu wameshikwa na kupelekwa Babeli. lakini walirudi Yerusalem. AT:"baadhi ya watu waliochukuliwa mateka kwenda Babeli na waliorudi yerusalem" au "baadhi ya watu waliorudi kutoka matekani" # ngombe mia moja...kondoo mia nne "100 ngombe...400 kondoo # kuwapa wajibu makuhani na walawi kufanya mgawanyo jina "mgawanyo wa kazi" unaweza kuelezewa katika msemo "kugawanya kazi katika vikundi" AT: "kugawanya makuhani na walawi katika vikundi vya kazi" # mgawanyo wa kazi "vikundi ambavyo vinafanya kazi pamoja"