sw_tn/ezr/06/16.md

16 lines
541 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# waliobaki wa uamisho
Hawa watu wameshikwa na kupelekwa Babeli. lakini walirudi Yerusalem. AT:"baadhi ya watu waliochukuliwa mateka kwenda Babeli na waliorudi yerusalem" au "baadhi ya watu waliorudi kutoka matekani"
# ngombe mia moja...kondoo mia nne
"100 ngombe...400 kondoo
# kuwapa wajibu makuhani na walawi kufanya mgawanyo
jina "mgawanyo wa kazi" unaweza kuelezewa katika msemo "kugawanya kazi katika vikundi" AT: "kugawanya makuhani na walawi katika vikundi vya kazi"
# mgawanyo wa kazi
"vikundi ambavyo vinafanya kazi pamoja"