sw_tn/ezr/06/03.md

24 lines
1.1 KiB
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Hii inaanza na kumbukumbu Mfalme Koreshi akiamuru kwamba wayahudi wajenge hekalu la Mungu katika Yerusalem.
# Katika mwaka wa kwanza wa Mfalme Koreshi
Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa kwanza wa kutawala. AT:"Katika mwaka 1 wa kutawala Mfalme Koreshi"
# Na nyumba iweze kujengwa
Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. AT:"Na wayahudi wajenge nyumba" au "Wayahudi lazima wajenge nyumba"
# upana sitini
"60 upana" unaweza kuibadilisha kwa vipimo vya kisasa" AT:mita ishirini na saba"
# sehemu tatu za mawe makubwa na sehemu ya mbao
Maana inayowezekana ni 1) hii inaonyesha jinsi ya kujenga msingi. AT:"Ijengwe katika sehemu tatu za mawe makubwa ikizungukwa na sehemu za mbao" au 2) hii inaonyesha jinsi ya kujenga ukuta. AT:"Kujenga kuta zake kwa sehemu tatu zikiwa na mawe makubwa pamoja na sehemu moja inayozunguka ya miti"
# Na gharama zilipwe na nyumba ya mfalme
Msemo"nyumba ya mfalme" inamaanisha mali za mfalme Koreshi katika hazina ya ikulu. Hii inaweza kuelezwa katika mfumo hai. AT: "Nitalipa fedha hizo kutoka katika mfuko wa hazina"