sw_tn/ezr/06/03.md

1.1 KiB

Taarifa kwa ujumla

Hii inaanza na kumbukumbu Mfalme Koreshi akiamuru kwamba wayahudi wajenge hekalu la Mungu katika Yerusalem.

Katika mwaka wa kwanza wa Mfalme Koreshi

Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa kwanza wa kutawala. AT:"Katika mwaka 1 wa kutawala Mfalme Koreshi"

Na nyumba iweze kujengwa

Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. AT:"Na wayahudi wajenge nyumba" au "Wayahudi lazima wajenge nyumba"

upana sitini

"60 upana" unaweza kuibadilisha kwa vipimo vya kisasa" AT:mita ishirini na saba"

sehemu tatu za mawe makubwa na sehemu ya mbao

Maana inayowezekana ni 1) hii inaonyesha jinsi ya kujenga msingi. AT:"Ijengwe katika sehemu tatu za mawe makubwa ikizungukwa na sehemu za mbao" au 2) hii inaonyesha jinsi ya kujenga ukuta. AT:"Kujenga kuta zake kwa sehemu tatu zikiwa na mawe makubwa pamoja na sehemu moja inayozunguka ya miti"

Na gharama zilipwe na nyumba ya mfalme

Msemo"nyumba ya mfalme" inamaanisha mali za mfalme Koreshi katika hazina ya ikulu. Hii inaweza kuelezwa katika mfumo hai. AT: "Nitalipa fedha hizo kutoka katika mfuko wa hazina"