# Taarifa kwa ujumla Hii inaanza na kumbukumbu Mfalme Koreshi akiamuru kwamba wayahudi wajenge hekalu la Mungu katika Yerusalem. # Katika mwaka wa kwanza wa Mfalme Koreshi Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa kwanza wa kutawala. AT:"Katika mwaka 1 wa kutawala Mfalme Koreshi" # Na nyumba iweze kujengwa Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. AT:"Na wayahudi wajenge nyumba" au "Wayahudi lazima wajenge nyumba" # upana sitini "60 upana" unaweza kuibadilisha kwa vipimo vya kisasa" AT:mita ishirini na saba" # sehemu tatu za mawe makubwa na sehemu ya mbao Maana inayowezekana ni 1) hii inaonyesha jinsi ya kujenga msingi. AT:"Ijengwe katika sehemu tatu za mawe makubwa ikizungukwa na sehemu za mbao" au 2) hii inaonyesha jinsi ya kujenga ukuta. AT:"Kujenga kuta zake kwa sehemu tatu zikiwa na mawe makubwa pamoja na sehemu moja inayozunguka ya miti" # Na gharama zilipwe na nyumba ya mfalme Msemo"nyumba ya mfalme" inamaanisha mali za mfalme Koreshi katika hazina ya ikulu. Hii inaweza kuelezwa katika mfumo hai. AT: "Nitalipa fedha hizo kutoka katika mfuko wa hazina"