sw_tn/ezr/06/01.md

20 lines
662 B
Markdown

# akaamuru uchunguzi ufanyike
Neno "uchunguzi" inaweza kuelezeka pamoja na kitenzi "kuchunguza" au "kutafuta"AT:"aliamuru maofisa wake kutafuta"
# aliamuru uchunguzi
Waliambiwa kuchunguza nini inaelezwa wazi.AT:aliagiza maofisa wake kuchunguza kumbukumbu" au "aliamuru maofisa kutafuta na kujua kama kuna kumbukumbu ya mfalme Koreshi inayosema wayahudi kujenga nyumba ya Mungu katika Yerusalem"
# nyumba ya kumbukumbu
Hii ni nyumba ambayo mfalme alitunza kumbukumbu muhimu za kiserikali.
# Akmetha
Hili ni jina la mji
# chuo kilionekana
Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai.AT:"waliona chuo" au "waliona chuo ambacho kinaeleza kuhusu Dario na Yerusalem"