# akaamuru uchunguzi ufanyike Neno "uchunguzi" inaweza kuelezeka pamoja na kitenzi "kuchunguza" au "kutafuta"AT:"aliamuru maofisa wake kutafuta" # aliamuru uchunguzi Waliambiwa kuchunguza nini inaelezwa wazi.AT:aliagiza maofisa wake kuchunguza kumbukumbu" au "aliamuru maofisa kutafuta na kujua kama kuna kumbukumbu ya mfalme Koreshi inayosema wayahudi kujenga nyumba ya Mungu katika Yerusalem" # nyumba ya kumbukumbu Hii ni nyumba ambayo mfalme alitunza kumbukumbu muhimu za kiserikali. # Akmetha Hili ni jina la mji # chuo kilionekana Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai.AT:"waliona chuo" au "waliona chuo ambacho kinaeleza kuhusu Dario na Yerusalem"