sw_tn/ezr/06/01.md

662 B

akaamuru uchunguzi ufanyike

Neno "uchunguzi" inaweza kuelezeka pamoja na kitenzi "kuchunguza" au "kutafuta"AT:"aliamuru maofisa wake kutafuta"

aliamuru uchunguzi

Waliambiwa kuchunguza nini inaelezwa wazi.AT:aliagiza maofisa wake kuchunguza kumbukumbu" au "aliamuru maofisa kutafuta na kujua kama kuna kumbukumbu ya mfalme Koreshi inayosema wayahudi kujenga nyumba ya Mungu katika Yerusalem"

nyumba ya kumbukumbu

Hii ni nyumba ambayo mfalme alitunza kumbukumbu muhimu za kiserikali.

Akmetha

Hili ni jina la mji

chuo kilionekana

Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai.AT:"waliona chuo" au "waliona chuo ambacho kinaeleza kuhusu Dario na Yerusalem"