sw_tn/ezr/05/14.md

16 lines
423 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Barua kutoka kwa Tetai kwenda kwa mfalmeambayo ilianza katika 5:6 inaendelea. Tetai anaendelea kumwambia mfalme kile ambacho wayahudi walimwambia yeye mwanzoni katika 5:11
# Sheshbaza
Tafsiri kama katika
# Yeye akavitunza vile
Mfalme Koreshi akavirudisha vitu vya hekalu
# Na nyumba ya Mungu iweze kujengwa
Hii inaweza ktafsiriwa katika mfumo hai. AT:"ninataka wayahudi wajenge nyumba ya Mungu"