# Taarifa kwa ujumla Barua kutoka kwa Tetai kwenda kwa mfalmeambayo ilianza katika 5:6 inaendelea. Tetai anaendelea kumwambia mfalme kile ambacho wayahudi walimwambia yeye mwanzoni katika 5:11 # Sheshbaza Tafsiri kama katika # Yeye akavitunza vile Mfalme Koreshi akavirudisha vitu vya hekalu # Na nyumba ya Mungu iweze kujengwa Hii inaweza ktafsiriwa katika mfumo hai. AT:"ninataka wayahudi wajenge nyumba ya Mungu"