sw_tn/ezr/05/14.md

423 B

Taarifa kwa ujumla

Barua kutoka kwa Tetai kwenda kwa mfalmeambayo ilianza katika 5:6 inaendelea. Tetai anaendelea kumwambia mfalme kile ambacho wayahudi walimwambia yeye mwanzoni katika 5:11

Sheshbaza

Tafsiri kama katika

Yeye akavitunza vile

Mfalme Koreshi akavirudisha vitu vya hekalu

Na nyumba ya Mungu iweze kujengwa

Hii inaweza ktafsiriwa katika mfumo hai. AT:"ninataka wayahudi wajenge nyumba ya Mungu"