sw_tn/ezr/04/14.md

946 B

tumekula chumvi ya Ikulu

Maana inayowezekana ni kwamab 1)mwandishi kuwa mtiifu kwa mfalme au 2)mfalme kumpa mwandishi heshima maalum. AT:"sisi ni watiifu kwako" au "umetuheshimu sisi kwa kutufanya kuwa maofisa wako"

mji wa uhalibifu

Mji ni kwa watu ambao wanaishi ndani yake.AT:"mji wanaoishi watu waliopingana dhidi ya baba yako"

mji uliharibiwa

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai, ambapo itakulazimu kutaka kujua nani ambaye akiharibu mji. AT:"Wababeli waliharibu mji"

ikiwa mji huu na ukuta utajengwa

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Ikiwa watajenga mji na ukuta" maneno haya yameonekana katika 4:13

hakuna kitakachokua kimebakia kwa ajili yako

Hii ni kumchanganya na kumfanya mfalme kufikiri kwamba hatakosa fedha nyingi za kodi iwapo wayahudi watampinga.

Mji ngambo ya mto

Hili ni jina la mji ambalo lilikuwa magharibi ya mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4: