sw_tn/ezr/04/14.md

24 lines
946 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# tumekula chumvi ya Ikulu
Maana inayowezekana ni kwamab 1)mwandishi kuwa mtiifu kwa mfalme au 2)mfalme kumpa mwandishi heshima maalum. AT:"sisi ni watiifu kwako" au "umetuheshimu sisi kwa kutufanya kuwa maofisa wako"
# mji wa uhalibifu
Mji ni kwa watu ambao wanaishi ndani yake.AT:"mji wanaoishi watu waliopingana dhidi ya baba yako"
# mji uliharibiwa
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai, ambapo itakulazimu kutaka kujua nani ambaye akiharibu mji. AT:"Wababeli waliharibu mji"
# ikiwa mji huu na ukuta utajengwa
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Ikiwa watajenga mji na ukuta" maneno haya yameonekana katika 4:13
# hakuna kitakachokua kimebakia kwa ajili yako
Hii ni kumchanganya na kumfanya mfalme kufikiri kwamba hatakosa fedha nyingi za kodi iwapo wayahudi watampinga.
# Mji ngambo ya mto
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Hili ni jina la mji ambalo lilikuwa magharibi ya mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4: