# tumekula chumvi ya Ikulu Maana inayowezekana ni kwamab 1)mwandishi kuwa mtiifu kwa mfalme au 2)mfalme kumpa mwandishi heshima maalum. AT:"sisi ni watiifu kwako" au "umetuheshimu sisi kwa kutufanya kuwa maofisa wako" # mji wa uhalibifu Mji ni kwa watu ambao wanaishi ndani yake.AT:"mji wanaoishi watu waliopingana dhidi ya baba yako" # mji uliharibiwa Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai, ambapo itakulazimu kutaka kujua nani ambaye akiharibu mji. AT:"Wababeli waliharibu mji" # ikiwa mji huu na ukuta utajengwa Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Ikiwa watajenga mji na ukuta" maneno haya yameonekana katika 4:13 # hakuna kitakachokua kimebakia kwa ajili yako Hii ni kumchanganya na kumfanya mfalme kufikiri kwamba hatakosa fedha nyingi za kodi iwapo wayahudi watampinga. # Mji ngambo ya mto Hili ni jina la mji ambalo lilikuwa magharibi ya mto Efrati. Ilikuwa ni kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4: