sw_tn/ezr/04/13.md

8 lines
241 B
Markdown

# ikiwa mji utajengwa na ukuta utakamilika
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Ikiwa watajenga mji na kukamilisha ukuta"
# lakini watawadhuru wafalme
Neno "kudhuru" linamaanisha kwa wayahudi kutoendelea kutoa fedha kwa wafalme.