sw_tn/ezr/04/13.md

241 B

ikiwa mji utajengwa na ukuta utakamilika

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Ikiwa watajenga mji na kukamilisha ukuta"

lakini watawadhuru wafalme

Neno "kudhuru" linamaanisha kwa wayahudi kutoendelea kutoa fedha kwa wafalme.