# ikiwa mji utajengwa na ukuta utakamilika Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"Ikiwa watajenga mji na kukamilisha ukuta" # lakini watawadhuru wafalme Neno "kudhuru" linamaanisha kwa wayahudi kutoendelea kutoa fedha kwa wafalme.