sw_tn/ezr/04/01.md

427 B

Taarifa kwa ujumla

Watu wasio wayahudi kujitoa kusaidia kujenga hekalu

wale waliokuwa kifungoni

Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"wale ambao wababeli waliwachukua kifungoni"

Esar-hadoni,mfalme wa Ashuru

Alitawala Ashuru kabla ya Koreshi kutawala katika Uajemi

Zerubabeli

Jina la mtu. Tafsiri kama katika 2:1

Esar-hadoni, mfalme wa Ashuru

Alitawala katika Ashuru kabla ya Koreshi kutawala Uajemi.