# Taarifa kwa ujumla Watu wasio wayahudi kujitoa kusaidia kujenga hekalu # wale waliokuwa kifungoni Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"wale ambao wababeli waliwachukua kifungoni" # Esar-hadoni,mfalme wa Ashuru Alitawala Ashuru kabla ya Koreshi kutawala katika Uajemi # Zerubabeli Jina la mtu. Tafsiri kama katika 2:1 # Esar-hadoni, mfalme wa Ashuru Alitawala katika Ashuru kabla ya Koreshi kutawala Uajemi.