sw_tn/ezr/04/01.md

20 lines
427 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Watu wasio wayahudi kujitoa kusaidia kujenga hekalu
# wale waliokuwa kifungoni
Hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:"wale ambao wababeli waliwachukua kifungoni"
# Esar-hadoni,mfalme wa Ashuru
Alitawala Ashuru kabla ya Koreshi kutawala katika Uajemi
# Zerubabeli
Jina la mtu. Tafsiri kama katika 2:1
# Esar-hadoni, mfalme wa Ashuru
Alitawala katika Ashuru kabla ya Koreshi kutawala Uajemi.