sw_tn/ezr/03/06.md

485 B

siku ya kwanza ya mwezi wa saba

Huu ni mwezi wa saba kwa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kwanza ilikaribia katikati ya mwezi wa tisa kwa kalenda ya watu wa magharibi.

hekalu lilikuwa bado halijapatikana

Wayahudi walianza kusherehekea kwa ibada hata kabla hawajaanza kujenga hekalu. AT:"walikuwa bado hawajaanza msingi kwa ajili ya hekalu"

kama walivyoamriwa wao kwa Koreshi mfalme wa Uajemi

Barua ilitumwa na Koreshi kuwapa wayahudi ruhusa ya kununua vifaa na kujenga hekalu.