sw_tn/ezr/03/06.md

12 lines
485 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# siku ya kwanza ya mwezi wa saba
Huu ni mwezi wa saba kwa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kwanza ilikaribia katikati ya mwezi wa tisa kwa kalenda ya watu wa magharibi.
# hekalu lilikuwa bado halijapatikana
Wayahudi walianza kusherehekea kwa ibada hata kabla hawajaanza kujenga hekalu. AT:"walikuwa bado hawajaanza msingi kwa ajili ya hekalu"
# kama walivyoamriwa wao kwa Koreshi mfalme wa Uajemi
Barua ilitumwa na Koreshi kuwapa wayahudi ruhusa ya kununua vifaa na kujenga hekalu.