# siku ya kwanza ya mwezi wa saba Huu ni mwezi wa saba kwa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kwanza ilikaribia katikati ya mwezi wa tisa kwa kalenda ya watu wa magharibi. # hekalu lilikuwa bado halijapatikana Wayahudi walianza kusherehekea kwa ibada hata kabla hawajaanza kujenga hekalu. AT:"walikuwa bado hawajaanza msingi kwa ajili ya hekalu" # kama walivyoamriwa wao kwa Koreshi mfalme wa Uajemi Barua ilitumwa na Koreshi kuwapa wayahudi ruhusa ya kununua vifaa na kujenga hekalu.