sw_tn/ezr/01/05.md

243 B

kazi zao

Hii inarejea kazi ya watu katika mstari uliopita iliyohimizwa na Mungu.

kila mmoja ambaye roho wa Mungu alimwinua kwenda

Kuinua Roho ni msemo kwa kumfamya mtu atake kufanya. AT: "kila mmoja ambaye Mungu alimfanya aweze kwenda"