# kazi zao Hii inarejea kazi ya watu katika mstari uliopita iliyohimizwa na Mungu. # kila mmoja ambaye roho wa Mungu alimwinua kwenda Kuinua Roho ni msemo kwa kumfamya mtu atake kufanya. AT: "kila mmoja ambaye Mungu alimfanya aweze kwenda"