sw_tn/ezr/01/05.md

8 lines
243 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kazi zao
Hii inarejea kazi ya watu katika mstari uliopita iliyohimizwa na Mungu.
# kila mmoja ambaye roho wa Mungu alimwinua kwenda
Kuinua Roho ni msemo kwa kumfamya mtu atake kufanya. AT: "kila mmoja ambaye Mungu alimfanya aweze kwenda"