sw_tn/ezr/01/01.md

1.3 KiB

mwaka wa kwanza

inarejea mwaka wa kwanza wa kutawala mfalme Koreshi

Yahwe

Hili ni jina la Mungu ambalo alilifunua kwa watu wake katika agano la kale. Angalia neno la tafsiri kwenye ukurasa unaouhusu Yahwe kuhusiana na jinsi ya kutafsiri.

Yahwe akatimiza neno lake

"Yahwe akafanya kile alichokisema kuwa atakifanya"

ambalo lilikuja kwa kusemwa na Yeremia

Ambacho Yeremia alikiandika au kukiongea kuhusu.

Yahwe..... kuinua roho ya Koreshi

Kuinua roho ni msemo wa kumfanya mtu atake kutenda "Yahwe .....akamfanya Koreshi atake kutenda"

Sauti ya Koreshi ikasambaa kote kwenye ufalme wake

Sauti ni aina msemo wa ujumbe sauti inaongea, na ufalme ni msemo kwa watu ambao mfalme anawaongoza. AT: "Koreshi akatuma ujumbe kwa kila mmoja ambao anawaongoza"

Kitu gani kiliandikwa na kuongelewa

Hii inaweza kutafsiriwa kwa mfumo hai. Itakuwa vizuri kutafsiri ili kwamba wasomaji waelewe kwamba watu wengine walimsaidia Koreshi kupata ujumbe kwa watu ambao anawaongoza. AT:"Kile alichokiandika Koreshi na kile wajumbe wake walikisoma ili watu waweze kuwasikia wao"

Ufalme wote wa dunia

Hii ni kukiuka, kana kwamba kulikuwa na ufalme ambao Koreshi alikuwa hauongozi

kwa yeye nyumba katika..... Yuda

Ungependa kufanya........... kwamba nyumba ilikuwa kwa ajili ya watu kumwabudu Yahwe. AT:"nyumba katika....... Yuda ambapo watu wanaweza kumwabudu yeye"