sw_tn/ezr/01/01.md

36 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwaka wa kwanza
inarejea mwaka wa kwanza wa kutawala mfalme Koreshi
# Yahwe
Hili ni jina la Mungu ambalo alilifunua kwa watu wake katika agano la kale. Angalia neno la tafsiri kwenye ukurasa unaouhusu Yahwe kuhusiana na jinsi ya kutafsiri.
# Yahwe akatimiza neno lake
"Yahwe akafanya kile alichokisema kuwa atakifanya"
# ambalo lilikuja kwa kusemwa na Yeremia
Ambacho Yeremia alikiandika au kukiongea kuhusu.
# Yahwe..... kuinua roho ya Koreshi
Kuinua roho ni msemo wa kumfanya mtu atake kutenda "Yahwe .....akamfanya Koreshi atake kutenda"
# Sauti ya Koreshi ikasambaa kote kwenye ufalme wake
Sauti ni aina msemo wa ujumbe sauti inaongea, na ufalme ni msemo kwa watu ambao mfalme anawaongoza. AT: "Koreshi akatuma ujumbe kwa kila mmoja ambao anawaongoza"
# Kitu gani kiliandikwa na kuongelewa
Hii inaweza kutafsiriwa kwa mfumo hai. Itakuwa vizuri kutafsiri ili kwamba wasomaji waelewe kwamba watu wengine walimsaidia Koreshi kupata ujumbe kwa watu ambao anawaongoza. AT:"Kile alichokiandika Koreshi na kile wajumbe wake walikisoma ili watu waweze kuwasikia wao"
# Ufalme wote wa dunia
Hii ni kukiuka, kana kwamba kulikuwa na ufalme ambao Koreshi alikuwa hauongozi
# kwa yeye nyumba katika..... Yuda
Ungependa kufanya........... kwamba nyumba ilikuwa kwa ajili ya watu kumwabudu Yahwe. AT:"nyumba katika....... Yuda ambapo watu wanaweza kumwabudu yeye"