# mwaka wa kwanza inarejea mwaka wa kwanza wa kutawala mfalme Koreshi # Yahwe Hili ni jina la Mungu ambalo alilifunua kwa watu wake katika agano la kale. Angalia neno la tafsiri kwenye ukurasa unaouhusu Yahwe kuhusiana na jinsi ya kutafsiri. # Yahwe akatimiza neno lake "Yahwe akafanya kile alichokisema kuwa atakifanya" # ambalo lilikuja kwa kusemwa na Yeremia Ambacho Yeremia alikiandika au kukiongea kuhusu. # Yahwe..... kuinua roho ya Koreshi Kuinua roho ni msemo wa kumfanya mtu atake kutenda "Yahwe .....akamfanya Koreshi atake kutenda" # Sauti ya Koreshi ikasambaa kote kwenye ufalme wake Sauti ni aina msemo wa ujumbe sauti inaongea, na ufalme ni msemo kwa watu ambao mfalme anawaongoza. AT: "Koreshi akatuma ujumbe kwa kila mmoja ambao anawaongoza" # Kitu gani kiliandikwa na kuongelewa Hii inaweza kutafsiriwa kwa mfumo hai. Itakuwa vizuri kutafsiri ili kwamba wasomaji waelewe kwamba watu wengine walimsaidia Koreshi kupata ujumbe kwa watu ambao anawaongoza. AT:"Kile alichokiandika Koreshi na kile wajumbe wake walikisoma ili watu waweze kuwasikia wao" # Ufalme wote wa dunia Hii ni kukiuka, kana kwamba kulikuwa na ufalme ambao Koreshi alikuwa hauongozi # kwa yeye nyumba katika..... Yuda Ungependa kufanya........... kwamba nyumba ilikuwa kwa ajili ya watu kumwabudu Yahwe. AT:"nyumba katika....... Yuda ambapo watu wanaweza kumwabudu yeye"