sw_tn/ezk/48/27.md

305 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli.

Tamari ... Meriba Kadeshi ... kitabu cha Misri

Tazama tafsiri yake katika sura ya 47:18.

ninyi

Huu wingi unarejea kwa watu wa Israeli.

Hili ndilo tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.