# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli. # Tamari ... Meriba Kadeshi ... kitabu cha Misri Tazama tafsiri yake katika sura ya 47:18. # ninyi Huu wingi unarejea kwa watu wa Israeli. # Hili ndilo tangazo la Yahwe Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.