sw_tn/ezk/48/27.md

16 lines
305 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli.
# Tamari ... Meriba Kadeshi ... kitabu cha Misri
Tazama tafsiri yake katika sura ya 47:18.
# ninyi
Huu wingi unarejea kwa watu wa Israeli.
# Hili ndilo tangazo la Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.