sw_tn/ezk/44/10.md

439 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli.

ni watumishi katika patakatifu pangu

"watakuwa watumishi katika hekalu langu"

kutazama malango ya nyumba

"kufanya kazi ya ulinzi kwenye malango ya nyumba"

watasimama mbele ya watu na kuwaokoa

"hawa Walawi watasimama mbele ya watu, ili kwamba waweze kuwaokoa watu"

nitainua mkono wangu kuapa kiapo

"nimeinua mkono wangu kuapa kiapo"