sw_tn/ezk/44/10.md

20 lines
439 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli.
# ni watumishi katika patakatifu pangu
"watakuwa watumishi katika hekalu langu"
# kutazama malango ya nyumba
"kufanya kazi ya ulinzi kwenye malango ya nyumba"
# watasimama mbele ya watu na kuwaokoa
"hawa Walawi watasimama mbele ya watu, ili kwamba waweze kuwaokoa watu"
# nitainua mkono wangu kuapa kiapo
"nimeinua mkono wangu kuapa kiapo"