# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli. # ni watumishi katika patakatifu pangu "watakuwa watumishi katika hekalu langu" # kutazama malango ya nyumba "kufanya kazi ya ulinzi kwenye malango ya nyumba" # watasimama mbele ya watu na kuwaokoa "hawa Walawi watasimama mbele ya watu, ili kwamba waweze kuwaokoa watu" # nitainua mkono wangu kuapa kiapo "nimeinua mkono wangu kuapa kiapo"