sw_tn/ezk/43/25.md

359 B

Wewe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 43:18.

itakuwa kusu hilo

Hili neno limetumika ha hapa kuonyesha sehemu muhimu ya maelekezo.

sadaka zako za kuteketeza ... sadaka za amani ... kukupokea

Neno "yako" na "wewe" ni nafsi ya pili umoja inarejea kwa watu wa Israeli kwa ujumla.

nitakupokea

"nitakupokea kwa fadhila" au "nitafurahishwa na wewe"