sw_tn/ezk/43/25.md

16 lines
359 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wewe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 43:18.
# itakuwa kusu hilo
Hili neno limetumika ha hapa kuonyesha sehemu muhimu ya maelekezo.
# sadaka zako za kuteketeza ... sadaka za amani ... kukupokea
Neno "yako" na "wewe" ni nafsi ya pili umoja inarejea kwa watu wa Israeli kwa ujumla.
# nitakupokea
"nitakupokea kwa fadhila" au "nitafurahishwa na wewe"