# Wewe Tazama tafsiri yake katika sura ya 43:18. # itakuwa kusu hilo Hili neno limetumika ha hapa kuonyesha sehemu muhimu ya maelekezo. # sadaka zako za kuteketeza ... sadaka za amani ... kukupokea Neno "yako" na "wewe" ni nafsi ya pili umoja inarejea kwa watu wa Israeli kwa ujumla. # nitakupokea "nitakupokea kwa fadhila" au "nitafurahishwa na wewe"