sw_tn/ezk/43/06.md

372 B

mizoga ya wafalme wao

Hapa "mizoga" inarejea kwa sanamu ambazo watu wa wafalme waliziabudu. Sanamu zinaitwa mizoga kwa sababu zimekufa haziko hai.

Wameasi

"Nyumba ya Israeli imeasi"

matendo ya machukizo

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 5:9.

nimewala kwa hasira yangu

Hili neno linamaanisha "nimewaangamiza kabisa kwa sababu nilikuwa na hasira."