# mizoga ya wafalme wao Hapa "mizoga" inarejea kwa sanamu ambazo watu wa wafalme waliziabudu. Sanamu zinaitwa mizoga kwa sababu zimekufa haziko hai. # Wameasi "Nyumba ya Israeli imeasi" # matendo ya machukizo Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 5:9. # nimewala kwa hasira yangu Hili neno linamaanisha "nimewaangamiza kabisa kwa sababu nilikuwa na hasira."