sw_tn/ezk/43/06.md

16 lines
372 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mizoga ya wafalme wao
Hapa "mizoga" inarejea kwa sanamu ambazo watu wa wafalme waliziabudu. Sanamu zinaitwa mizoga kwa sababu zimekufa haziko hai.
# Wameasi
"Nyumba ya Israeli imeasi"
# matendo ya machukizo
Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 5:9.
# nimewala kwa hasira yangu
Hili neno linamaanisha "nimewaangamiza kabisa kwa sababu nilikuwa na hasira."