sw_tn/ezk/41/21.md

545 B

Kulikuwa na milango miwili kwa ajili ya mahali patakatifu na mahali patakatifu sana

"mahali patakatifu na patakatifu sana kote kulikuwa na milango miwili"

Hii milango ilikuwa na bawaba mbili zilizokuwa zimeshikilia paneli za mlango yote

"Kila mlango ulikuwa na sehemu mbili katika bawaba." Bawaba inaunganisha milango kwenye ukuta na kuruhusu milango kubembea.

paneli mbili kwa ajili ya mlango mmoja na paneli mbili kwa ajili ya mwingine

"milango yote kwa sehemu zote mahali patakatifu na mahali pa juu sana palikuwa na sehemu mbili"